sw_tn_fork/neh/02/15.md

322 B

Hivyo nilikwenda ...... na nikarudi

Wanaume wengine pamoja na Nehemia walimfuata pia. AT 'Hivyo tulikwenda ... na tukageuka

wa lango la bondeni

"kwa njia ya lango la bonde"

wengine waliofanya kazi hiyo

Hii inahusu wanaume ambao baadaye watajenga kuta. AT "wengine ambao baadaye watafanya kazi ya kujenga upya"