forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
988 B
Markdown
33 lines
988 B
Markdown
# Alianguka kifudifudi.
|
|
|
|
Kwa makusudi kuweka uso chini ili upate kuomba.
|
|
|
|
# Baba yangu.
|
|
|
|
Hili ni jina maarufu la Mungu ambalo huonesha uhusiano kati ya Mungu na Yesu.
|
|
|
|
# KIkombe hiki kiniepuke.
|
|
|
|
Usemi huu, "kikombe hiki" huashiria mateso ambayo Yesu atapitia.
|
|
|
|
# Hata hivyo, siyo kama nipendavyo, bali kama utakavyo.
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kama sentensi iliyo kamilika. "Lakini usifanye kile nitakacho bali kile utakacho."
|
|
|
|
# akamwambia Petro, kwa nini hamkukesha
|
|
|
|
Yesu anamwambia Petro, kiwakilishai cha "hamku" ni cha wingi kinamaanisha Petro, Yakobo na Yohana.
|
|
|
|
# kwa nini hamkuweza kukesha nami hata kwa saa moja?
|
|
|
|
"Ninasikitaka kuwa hamkuweza kukesha nami hata kwa saa moja"
|
|
|
|
# msiingie katika majaribuni
|
|
|
|
"mtu yeyote asiwajaribu mtende dhambi"
|
|
|
|
# Roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu
|
|
|
|
Roho inamaanishahamu ya nafsi. Na "mwili" inamaanisha mwanadamu kamili. Yesu anamaanisha wanaweza kuwa na hamu ya kufanya mapenzi ya Mungu, Lakini kama wanadamu ni wadhaifu na wanaweza kushindwa
|
|
|