forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
632 B
Markdown
21 lines
632 B
Markdown
# Ole wenu.
|
|
|
|
Tazama 11:20
|
|
|
|
# Kwa kuwa mnasafisha nje ya kikombe a nje ya sahani... kutokuwa na kiasi
|
|
|
|
"Waandishi" na "Mafarisayo" kwa wengine wanaonekana "safi kwa nje, lakini ndani ni wachafu
|
|
|
|
# Kwa ndani wamejaa dhuluma and kutokuwa na kiasi.
|
|
|
|
"Wanachukua vitu vya watu kwa ubinafsi
|
|
|
|
# Ewe Mfarisayo kipofu.
|
|
|
|
Mafarisayo walikuwa vipofu kiroho. Ingawa wao wenyewe walijidhania kuwa walimu. hawakuwa na uwezo wa kuelewa ukweli wa Mungu
|
|
|
|
# Safisheni kwanza ndani ya kikombe na ndani ya sahani, ili nje pia pawe safi.
|
|
|
|
Hii ni sitiari inayomaanisha kuwa kama wangekuwa safi mioyoni mwao, basi matokeo yake wangekuwa safi kwa nje pia
|
|
|