# atakaye waweka huru Israel
Warumi walitawala juu ya Wayahudi. Tafsiri mbadala: "atakaye tuweka huru Waisraeli kutoka kwa adui zetu wa Kirumi."
# tangu mambo haya yatokee
"tangu walipomuua"