sw_tn_fork/luk/23/33.md

837 B

walipofika

Neno "walipofika" inajumuisha maaskari, wahalifu na Yesu.

wakamsulunisha

"maaskari wakamsulubisha Yesu"

mmoja upande wa kulia

"mmoja wa wahalifu aliwekwa upande wa kulia wa Yesu"

na mwingine upande wa kushoto

" na muhalifu mwingine aliwekwa upande wa kushoto mwa Yesu"

Baba, uwasamehe wao

Neno "wao" inamaanisha wale wanao msulubisha Yesu. Yesu aliongea kwa huruma na Baba yake juu ya wanaume waliokuwa wanamsulubisha"

Baba

Hii ni cheo muhimu kwa Mungu

kwa kuwa hawajui watendalo

"kwasababu hawajui kile wanachokifanya". Maaskari hawakujua kuwa wanamsulubisha Mwana wa Mungu. Kwasababu hakika hawamjui ni nani wanayemsulubisha"

wakapiga kura

Maaskari walifanya aina ya kamari "walifanya kamari"

kugawa mavazi yake

"kuamua nani kati ya maaskari atapeleka nyumbani sehemu ya mavazi ya Yesu"