1.0 KiB
enenda kinyume changu
Kuenenda huwakilisha tabia. Kuenenda kinyume na Mungu huwakilisha kumpinga au kumwasi Yeye. "Asi dhidi yangu"
nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu
Ile nomino dhahania "mapigo" yaweza kutamkwa kama kitenzi "gonga." "Nitawagonga kwa wingi zaidi mara saba
nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu
Kule Yahweh kusababisha maafa kutokea kwa Waisraeli kumezungumziwa kana kwamba angewapiga na mapigo au kuwagonga. : "Nitasabisha maafa mengi yaje mara saba dhidi yenu" au "Niitawaadhibu kwa ukali zaidi mara saba"
mara saba
Hapa "mara saba" siyo halisi, humaanisha Yahweh atazidisha ukali wa adhabu yake.
sawasawa na dhambi zenu
Ile nomino "dhambi" yaweza kuelezewa pamoja na kitenzi "tenda dhamb.i." : "kulingana na mara mlizotenda dhambi"
ambao watawaibia watoto wenu
Kuiba huwakilisha kuwavamia au kuvamia na kuwaburuta. : "watakaowavamia nyinyi na kuwaburuta watoto wenu"
Hivyo barabara zenu zitakuwa jangwa.
"Ili kwamba hatakuwepo wa kusafiri kwaenye barabara zenu." "Kuwa jangwa" humaanisha kwamba hakuna mtu yeyote huko.