forked from WA-Catalog/sw_tn
372 B
372 B
ambazo kwazo hutenda kama makahaba
Watu ambao wamekuwa siyo waaminifu kwa Yahweh kwa kuabudu miungu ya uongo wamezungumziwa kana kwamba walikuwa akitenda kama mwanaume anayemsaliti mkewe kwa kufanya uzinzi. : "ambayo kwa ajili yake siyo waaminifu kwa Yahweh"
Hili litakuwa agizo la kudumu kwa ajili yao katika vizazi vya watu wao vyote
Tazama maelezo ya sura 3:15