amejionyesha
Hii hurejea moja kwa moja kwa mtu aliye na ugonjwa wa ngozi.
kuhani atamtangaza kuwa najisi
Yule mtu ambaye watu wengine haiwapasi kumgusa amezungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile
ugonjwa wa kuambukiza
Tazama maelezo ya sura 13:3.