sw_tn_fork/jud/01/20.md

21 lines
595 B
Markdown

# sentensi unganishi
Yuda anawambia waamini jinsi ya kuishi na namna ya kuwa tendea wengine.
# kama mjijengavyo wenyewe
Kama muwezavyo kukua imara na afya njema, ili kwamba muweze kuimarika na kukua fahamu zenu na roho katika maarifa ya Mungu
# msubiri
"tunatazamia kwa shauku"
# jitunzeni katika upendo wa Mungu
Kuweza ;kupokea upendo wa Mungu ya zungumziwa kama vile mtu amejihifadhi sehemu.
# rehema za Bwana wetu Yesu Kristo ambayo huwapatia uzima wa milele
Hapa "rehema" ya wakilisha Yesu Kristo mwenyewe, ambaye atawaonyesha rehema zake kwa waaamini kwa kuwafanya wa ishi milele