forked from WA-Catalog/sw_tn
49 lines
1.1 KiB
Markdown
49 lines
1.1 KiB
Markdown
# kauli unganishi
|
|
|
|
Yuda anawapa waamini sababu yake ya kuandika hi barua
|
|
|
|
# maelezo ya jumla
|
|
|
|
Neno "sisi" la muhusu yuda na waamini katika hii barua
|
|
|
|
# Nilikuwa nafanya kila juhudi kuwaandikia ninyi
|
|
|
|
"Nilikuwa na shauku ya kuwaandikia ninyi"
|
|
|
|
# wokovu wa kawaida
|
|
|
|
"tunashiriki wokovu uleule"
|
|
|
|
# Ilinilazimu kuandika
|
|
|
|
"Nilijisikia uhitaji mkubwa kuandika" au "Nilijisikia hitaji muhimu kuandika"
|
|
|
|
# kuwahimiza mshindanie kwa uaminifu kwa ajili ya imani
|
|
|
|
"kuwatia moyo kutetea mafundisho ya kweli"
|
|
|
|
# kabidhiwa
|
|
|
|
Mungu alitoa mafundisho haya ya kweli"
|
|
|
|
# kwa sababu watu fulani wamejiingiza kwa siri
|
|
|
|
"kwa kuwa baadhi ya watu wamekuja miongoni mwa walioamini pasipo kujijulisha wenyewe"
|
|
|
|
# ambao hukumu yao ya dhambi ilikwisha andikwa tangu zamani
|
|
|
|
"zamani sana iliandikwa kwamba watu hawa watahukumiwa dhambi"
|
|
|
|
# ambao hubadilisha neema ya Mungu kuwa zinaa
|
|
|
|
"ambao hufundisha kwamba neema ya Mungu inaruhusu mtu kudumu katika maisha ya dhambi ya zinaa"
|
|
|
|
# ambao humkataa Mkuu wetu wa pekee na Bwana, Yesu Kristo
|
|
|
|
watu hawa hufundisha kwamba Yesu Kristo sio njia ya kweli au pekee ya kwenda kwa Mungu.
|
|
|
|
# Kataa
|
|
|
|
kusema kwamba jambo fulani si kweli.
|
|
|