forked from WA-Catalog/sw_tn
37 lines
1.7 KiB
Markdown
37 lines
1.7 KiB
Markdown
# habari za Jumla:
|
|
|
|
Sofari anamjibu Ayubu.
|
|
|
|
# Sofari, Mnaamathi
|
|
|
|
Sofari wa mkoa wa Naamathi
|
|
|
|
# Mawazo yangu yananifanya mimi nijibu kwa haraka
|
|
|
|
Mawazo ya Sofari kumfanya yeye kutenda jambo ina maanisha shauku yake kubwa kutenda jambo. "Mimi nahitaji sana kukujibu wewe haraka"
|
|
|
|
# kwa sababu ya mashaka yaliyomo ndani yangu mimi.
|
|
|
|
Jina dhahania "hofu" laweza kuelezwa pamoja na kivumishi "kuhofu"Sababu ya hofu hii yaweza kuelezwa "Kwa sababu mimi naogopeshwa sana na wewe" au "kwa sababu nimeogopeshwa sana na kile ambacho umesema"
|
|
|
|
# Mimi ninasikia kukemewa ambako kunaniondolea heshima mimi
|
|
|
|
Jina dhahania "kemea" laweza kuelezwa pamoja na kitenzi "kemea." "Mimi ninasikia wewe unanikemea mimi, na kile unachokisema kinaniondolea heshima mimi" au "wewe wanidhalilisha mimi kwa jinsi ambavyo unanikemea mimi"
|
|
|
|
# roho kutoka katika ufahamu wangu hunijibu mimi.
|
|
|
|
katika sentensi hii "roho" inamaanisha fikra au wazo" wazo kutoka katika ufahamu wangu linanijibu mimi"
|
|
|
|
# roho kutoka katika ufahamu wangu hunijibu mimi.
|
|
|
|
"roho" au wazo imesemwa kama vile ilikuwa mtu ambayo inaweza kumjibu Sofari. "Mimi nina wazo kutoka katika ufahamu wangu na sasa Mimi ninafahamu kile ambacho nilihitaji kufahamu"
|
|
|
|
# roho kutoka katika ufahamu wangu hunijibu mimi.
|
|
|
|
yaliyomo katika jibu yanaweza kuelezwa kwa ufasaha. "wazo kutoka katika ufahamu wangu hunijibu mimi kuhusu namna nitakavyojibu kwako" au Mimi nina wazo kutoka katika ufahamu wangu , na sasa Mimi ninafahamu namna nitakavyokujibu wewe"
|
|
|
|
# roho kutoka katika ufahamu wangu hunijibu mimi.
|
|
|
|
Kielezi cha jina "roho"chaweza kuelezwa pamoja na kitenzi "fikiri" na "fahamu" Kwa sababu ninavifahamu vitu, Mimi nimefikiri, na sasa Mimi ninafahamu jinsi nitakavyokujibu wewe.
|
|
|