forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
489 B
Markdown
13 lines
489 B
Markdown
# wamsaidiao Rahabu kuinama chini yake
|
|
|
|
Hapa "kuinama mbele zake" inaashiria utii au ushindwaji. "yeye huangamiza wasaidizi wa Rahabu"
|
|
|
|
# Rahabu
|
|
|
|
Neno hili "Rahabu" hapa linamaanisha dubwana la baharini.
|
|
|
|
# Je ni upungufu kiasi gani mimi nitamjibu, je nichague maneno kuhojiana naye?
|
|
|
|
Ayubu anatoa maswali mawili yanayofanana kusisitiza kukataa kwake kumkabili Mungu. Yanaweza kupangiliwa kama maelezo. "Hivyo Bila shaka mimi nisingeweza kumjibu au kuchagua maneno ya kuhojiana na yeye."
|
|
|