forked from WA-Catalog/sw_tn
9 lines
333 B
Markdown
9 lines
333 B
Markdown
# Kwa hiyo akaamini yeye na nyumba yake yote
|
|
|
|
yeye mwenyewe imetumika kusistiza neno "yeye" kama katika lugha yako una namna ya kusema unaweza kufikiri namna ya kutumia.
|
|
|
|
# Ishara
|
|
|
|
Miujiza inaweza kuitwa "ishara" kwa sababu yametumika kama kiilelezo cha ushahidi kuwa Mungu ni mwenye nguvu zaidi na aliye na mamlaka juu ya dunia.
|
|
|