forked from WA-Catalog/sw_tn
1.0 KiB
1.0 KiB
Yohana 03 Maelezo ya Jumla
Dhana maalum katika sura hii
Mwangaza na Giza
Hizi ni taswira za kawaida katika Agano Jipya. Mwangaza hutumiwa hapa ili kuonyesha ufunuo wa Mungu na haki yake. Giza linaelezea dhambi na dhambi hubakia kufichwa kwa macho ya Mungu. (See: rc://en/tw/dict/bible/other/light]], rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous, rc://en/tw/dict/bible/other/darkness and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/sin)
Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
"Tunajua kwamba wewe ni mwalimu anayetoka kwa Mungu"
Ingawa hii inaonekana kuwa inaonyesha imani, sivyo. Sababu kumwamini Yesu kama "mwalimu tu" inaonyesha ukosefu wa ufahamu wa kuwa yeye hakika ni nani. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/faith]] and [[rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)
"Mwana wa Binadamu"
Yesu anajiita mwenyewe kama "Mwana wa Binadamu." Lugha zingine haziwezi kuruhusu mtu kujitaja mwenyewe kama 'mtu wa tatu.' (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/sonofman)