sw_tn_fork/jer/49/09.md

248 B

Taarifa ya jumla:

Bwana anaendelea kuzungumza kuhusu kitakachotokea Edomu.

Kama wavunaji wa zabibu watafika

"Wale wanaovuna zabibu huwa wanaacha baadhi kwenye mizabibu."

Wezi wakija

"Wezi wakija usiku, wataiba kwa kadiri wanavyohitaji"