Tazama, niapa kwa jina kuu- asema Bwana
Jina kuu la Bwana linaonesha ukuu wake.
Kila mtu wa Yuda ... ataangamizwa
"Idadi kubwa ya watu wa Yuda ... wataangamizwa"
kwa uoanga na njaa
"upanga" inawakilisha watu watakaokufa vitani na "njaa" inawakilisha watu watakaokufa kwa njaa.