Ikatokea kuwa
Maneno haya yalitumika hapa kuonesha mwanzo wa simulizi mpya.
katika mwaka wa saba
Huu ni mwezi wa saba kwa Kalenda ya Kiebrania. ni mwishoni mwa mwezi wa Septemba na mwanzoni mwa mwezi octoba.
Ishmaeli ... Nethania ... Elishama ... Gedalia ... Ahikamu
Haya ni majina ya watu.