sw_tn_fork/jer/25/19.md

216 B

Taarifa za jumla

Yeremia anaweka orodha ya mataifa yote ambayo yatahukumiwa

watu wa urithi mchanganyiko

Hii ni kumbukumbu kwa watu wenye wazazi wawili kutoka mataifa mawili tofauti. AT "watu waliochanganywa"