forked from WA-Catalog/sw_tn
752 B
752 B
Mimi
"sisi"
Kwa hakika hasira ya BWANA itageuka kutoka kwangu
"Kwa hakika BWANA hatakuwa mwenye hasira tena
utahukumiwa
"utakukumiwa vikali"
Tangu
"kwa sababu"
sikutenda
"hatukutenda"
kwa nini mnatangatanga kwa urahisi katika njia zenu
BWANA anawatania Waisraeli kwa sababu ya kubadilisha kutoka ufame mwingine hadi mwingine kutafuta msaada lakini hawakumtegemea Mungu kwa ajili ya kupata msaada
kwa urahisi
bila kujali
mmehuzunika
kujisikia kuwa na huzuni au kutokuwa na furaha kwa sababu mfalme wa Misri alikataa kuwasaidia.
Mtaondoka hapo mkiwa
"Mtaondoka hapo kutoka Misri"
mmehuzunika
kwa huzuni kwa sababu hamkupata msaada wa Wamisiri.
mikono vichwani mwenu
Hii inaonesha watu wakiwa katika maombolezo