sw_tn_fork/jer/01/17.md

243 B

Usifadhaike ... nisije nikakufadhaisha

"usiogope sana ... nisije nikakuogofya"

kuvunja

kupasua katika vipande vidogo vidogo

Tazama

"uwe tayari"

chuma ... shaba

zana ngumu zilivyofahamika nyakati zile

BWANA asema

Tazama 1:7