forked from WA-Catalog/sw_tn
53 lines
1.2 KiB
Markdown
53 lines
1.2 KiB
Markdown
# Sentensi unganishi
|
|
|
|
Yakobo anawatia moyo waamini waliotawanyika kuonyesha imani yao mbele za watu. Kama vile Abrahamu alivyoionesha imani yake kwa vitendo.
|
|
|
|
# Kuna uzuri gani, ndugu zangu, kama mtu anasema ninayo imani, lakini hana matendo?
|
|
|
|
Yakobo anatumia swali kuifundisha hadhira yake. "Waamini wenzanhu, sio vizuri kabisa mtu akisema ana imani lakini hana matendo."
|
|
|
|
# anayo imani
|
|
|
|
Yakobo anazungumzia imani, kumuamini Mungu.
|
|
|
|
# haina matendo
|
|
|
|
Yakobo anazungumzia matendo kuwa ni kufanya matendo mema.
|
|
|
|
# Je, imani hiyo yaweza kumwokoa?
|
|
|
|
Yakobo anazungumzia imani kuwa kumuamini Mungu kuna nguvu ya pekee katika kumuokoa mwanadamu lakini Imani haitoshi. "Imani hiyo haiwezi kumuokoa."
|
|
|
|
# kumuokoa
|
|
|
|
"Kumuokoa toka kwenye hukumu ya Mungu."
|
|
|
|
# mkaote moto
|
|
|
|
"kuwa na nguo za kutosha kuvaa" au "kuwa na sehemu ya kulala."
|
|
|
|
# mle vizuri
|
|
|
|
"kuwa na chakula cha kutosha."
|
|
|
|
# ya mwili
|
|
|
|
kula, kuvaa na kuishi vizuri.
|
|
|
|
# yafaa nini?
|
|
|
|
Yakobo anatumia swali hili kuifundisha hadhira. "hivi sio vizuri."
|
|
|
|
# wa kiume na wa kike
|
|
|
|
Waamini wenzangu katika Yesu, wanaume kwa wanawake
|
|
|
|
# imani ... imekufa
|
|
|
|
Yakobo anaizungumzia imani kuwa ni hai mtu afanyapo matendo mema na imekufa kama mtu hatafanya matendo mema.
|
|
|
|
# imani ... ina matendo
|
|
|
|
Imani inaambatana na mtu afanyaye matendo mema.
|
|
|