sw_tn_fork/isa/59/11.md

9 lines
212 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Isaya anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Tunaunguruma kama dubu na kunung'unika kama njiwa
Hii ina maana ya sauti ambayo watu walifanya kwa sababu walikuwa na dhiki na maombolezo.