forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
963 B
Markdown
25 lines
963 B
Markdown
# Maelezo ya Jumla
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kwa kujibu swali lao la changamoto.
|
|
|
|
# Tazama
|
|
|
|
"Tazama" or "Zingatia kwa makini". Yahwe anawakabili swali lao kwa kuwaambia kuzingatia kwa makini.
|
|
|
|
# ngumi ya uovu
|
|
|
|
"ngumi ya uovu". Hii inaonyesha wanapigana kwa ukali. "Ngumi" inawakilisha hasira ambayo ni vurugu ya mwili.
|
|
|
|
# Je! hii ni aina ya kufunga ambayo ningetaka ... chini yake?
|
|
|
|
Yahwe anatumia swali kukaripia watu. Wanajifanya kana kwamba ni wanyenyekevu mbele ya Mungu, lakini wanawaumiza watu wengine. "Hii sio aina ya kufunga ninayoitaka ... chini yake"
|
|
|
|
# Siku kwa ajili ya mtu yeyote kujishusha, kwake kuinamisha chini kichwa chake kama matete
|
|
|
|
Hii ina maana mtu anainama chini, lakini sio mnyenyekevu ki ukweli. "Tete" linawakiliisha mmea dhaifu ambao hujikunja kirahisi.
|
|
|
|
# Je! unata hivi kufunga kweli, siku ambayo inampendeza Yahwe?
|
|
|
|
Yahwe anatumia swali kukaripia watu. "Hakika haufikiri aina hii ya kufunga inanifurahisha!"
|
|
|