forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
898 B
Markdown
21 lines
898 B
Markdown
# Ambaye amepima ... au vilima juu ya mizani?
|
|
|
|
Maswali haya ya balagha yanatarajia jibu la kukana na linasisitiza ya kwamba ni Yahwe pekee anaweza kufanya vitu hivi. "Hakuna mwingine ila Yahwe amepima ... na vilima katika mizani".
|
|
|
|
# aliyepima maji katika uwazi wa mkono wake
|
|
|
|
Yahwe kujua wingi wa maji uliomo katika bahari inazungumziwa kana kwamba Yahwe alishika maji katika mkono wake.
|
|
|
|
# aliyepima anga kwa upana wa mkono wake
|
|
|
|
"upana" ni kipimo cha urefu katikati ya kidole gumba n kidole kidogo mkono unaponywoshwa. Yahwe kujua urefu wa anga inazungumziwa kana kwamba alipima kwa mkono wake.
|
|
|
|
# aliyeshika vumbi la dunia katika kikapu
|
|
|
|
Yahwe kujua wingi wa vumbi ulivyo katika dunia inazungumziwa kana kwamba alilibeba katika kikapu.
|
|
|
|
# aliyepima uzito wa milima katika mizani, au vilima katika mizani?
|
|
|
|
Yahwe kujua jinsi milima iilivyo mizito inazungumziwa kana kwamba alipiima kwa mizani.
|
|
|