sw_tn_fork/hos/13/07.md

17 lines
330 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza.
# kama simba ... kama chui ... kama dubu ... kama vile mnyama wa mwitu
Hawa ni wanyama wa porini ambao huvamia na kuwaua wanyama wengine.
# kama dubu aliyenyang'anywa watoto wake
"kama dubu ambaye atashambulia mnyama atakayechukua watoto wake"
# kama simba
"kama simba atakavyowala"