sw_tn_fork/gen/47/13.md

21 lines
614 B
Markdown

# Basi
Neno hili linatumika hapa kuweka alama ya pumziko katika zimulizi kuu. Hapa mwandishi anaanza kuelezea sehemu mpya ya simulizi.
# Nchi ya Misri na nchi ya Kanaani
Hii ina maana ya watu wanaoishi katika nchi hizi. "watu wa Misri na watu wa Kaanani"
# ikaharibika
"ikawa nyembamba na dhaifu"
# Yusufu akakusanya pesa yote iliyokuwa katika nchi ya Misri na nchi ya Kanaani, kwa kuwauzia wakaaji wake nafaka
"Watu wa Misri na Kaanani walitumia pesa yao kununua nafaka kutoka kwa Yusufu"
# Yusufu akakusanya ... Yusufu akaleta
Inawezekana Yusufu aliwaamuru watumishi wake kukusanya na kuleta ile pesa"