sw_tn_fork/gen/25/09.md

41 lines
831 B
Markdown

# pango la Makipela, katika shamba la Efroni
Efroni alimiliki shamba Makpela na pango ambalo lilikuwa ndani ya hilo shamba. Abrahamu alinunua shamba lile kutoka kwa Efroni.
# Makpela
Makpela lilikuwa jina la eneo au sehemu.
# Efroni ... Soari
Haya ni majina ya wanamume.
# lililokuwa karibu na Mamre
Makpela ilikuwa karibu na Mamre.
# Mamre
Hii ilikuwa jina jingine kwa mji wa Hebroni. Inawezekana iliitwa baada ya Mamre, rafiki yake Abrahamu aliyeishi pale"
# Shamba hili Abrahamu alilinunua
"Abrahamu alinunua shamba hili"
# watoto wa Hethi
Hapa "wana" ina maana ya wale amabo wametoka kwa Hethi. "uzao wa Hethi"
# Abrahamu akazikwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Walimzika Abrahamu"
# mwanae
"Mwana wa Abrahamu"
# Beerlalahairoi
Jina hili lina maana ya "kisima cha yule aliye hai anionaye mimi"