sw_tn_fork/gal/01/13.md

17 lines
396 B
Markdown

# Maisha ya nyuma
"Tabia katika kipindi fulani" au " maisha ya kipindi kilichopita" au " maisha ya mwanzo"
# NIlikuwa nimeendelea
Hii ni sitiari ( lugha ya picha) inayoonesha jinsi Paulo alivyokuwa mbele ya wayahudi wengine wa umri wake katika kusudi lao la kuwa wayahudi kamili.
# wale wenye umri kama wangu
"Wayahudi wenye umri sawa na wa wangu"
# baba
"mababu", au "wazazi wa zamani"