forked from WA-Catalog/sw_tn
430 B
430 B
muda uliopangwa na viongozi wa mji na waamuzi wa mji
Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"muda ambao viongozi na waamuzi wa mji wataupanga"
Yonathani...Asaheli...Yazeya...Tikwa...Meshulamu.......Sh
majina ya wanaume
Yonathani mwana wa Asaheli na Yazeya mwana wa Tikwa wakapinga hili
Maana inaweza kuwa 1) hawa watu hawakutaka wakuu wa mji kuchunguze maovu au 2) hawakutaka mtu yeyote kuchunguza ndoa za watu.