Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Tire.
Neno "yeye" inamrejea Nebukadneza, mfalme wa Babeli.
Tazama tafsiri yake katika 4:1.
"vifaa vyake vya vita"