forked from WA-Catalog/sw_tn
781 B
781 B
Atakuwa
Mara nyingi miji inarejewa kama "yeye." "Tire itakuwa" au "Itakuwa."
sehemu ya kuwekea nyavu kati ya bahari
Sehemu ya Tire ilikuwa kisiwa. "kisiwa kisichokuwa na kitu kilitumika kwa ajili kukaushia nyavu za samaki"
hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo
Tazama tafsiri yake katika 5:11.
pora
vitu ambavyo watu walivyovipoteza
atakuwa mateka kwa mataifa
"majeshi kutoka mataifa wataiba kila kitu kutoka Tire."
Binti zake walioko mashambani watachinjwa kwa panga
"Adui wa jeshi atawaua mabinti zake ambao wapo katika uwanda."
Binti zake waliopo katika uwanda
Wakati mwingine vijiji viliitwa mabinti vya miji iliyotawala juu yao. wasichana wa Tire waliokuwa wakifanya kazi katika mashamba.
watajua yakuwa mimi ni Yahwe
Tazama tafsiri yake katika 6:6