forked from WA-Catalog/sw_tn
502 B
502 B
Neno la Yehova likanijia
"Yehova alizungumza neno lake." Angalia namna ulivyotafsiri katika 1:1
Mnamaanisha nini, ninyi mnaotumia mithali hii...'wababa wanakula zabibu chachu, na meno ya watoto yametiwa ganzi'
God anawaonya watu kwa kufikiri kuwa wanaadhibiwa kwa dhambi za wazazi wao, lakini wakiamini kuwa wao wenyewe hawana dhambi
Wababa wanakula zabibu chachu, na meno ya watoto yametiwa ganzi
Mithali hii ina maana kuwa watoto wanaadhuibiwa kwa sababu ya matendo maovu ya wazazi wao.