mfalme wa Misri
Wafalme wa Misri aliitwa Farao.
wakunga
Hawalikuwa wanawake waliyo wasaidia mwanawake kuzaa mtoto.
Shifira ... Pua
Haya ni majina ya wanawake wa Kiebrania.
katika kiti cha kujifungulia
Wanawake waliketi kwenye ichi kiti walipo jifungua. Hivyo basi, ina hashiriwa na kujifungua.