sw_tn_fork/ecc/02/03.md

17 lines
288 B
Markdown

# Nikajipeleleza moyoni mwangu
"Nikawaza sana kuhusu"
# kutimiza hamu yangu kwa mvinyo
"kutumia mvinyo kujipa furaha"
# Nikaruhusu akili yangu iongozwe na hekima
"Nikawaza kuhusu vitu amabvyo watu wenye hekima walinifundisha"
# wakati wa siku za maisha yao
"ili mradi wakiwa hai"