sw_tn_fork/deu/29/17.md

1.2 KiB

moyo wake unamuacha Yahwe Mungu wetu leo

Hapa "moyo" ina maana ya mtu mzima, na "kumuacha" ina maana ya kukoma kutii. "ambaye hamtii Yahwe Mungu wetu tena"

mzizi wowote utakaozaa nyongo na pakanga

Musa anazungumza na mtu ambaye humsifu Mungu mwingine sirini kana kwamba alikuwa mzizi, na matendo ya uovu anayofanya kutumikia mungu huyo, na ambayo anamtia moyo wengine kufanya vile. "mtu yeyote anayeabudu miungu na kusababisha wengine kutomtii Yahwe"

mtu huyo

Mtu aliyeelezwa katika mstari wa 18.

atajifariji moyoni mwake

Hii ni lahaja. "akajipongeza" au "akajitia moyo"

ingawa natembea katika ukaidi wa moyo wangu

Hii ni lahaja. "ingawa bado ninakataa kumtii Yahwe"

Hii itaangamiza ubichi pamoja na ukavu

Hapa maneno "ubichi" na "ukavu" ni sitiari ya watu watakatifu na watu waovu. Hii inaunda mkusanyiko wa maneno yenye maana mbili tofauti ya "kila mmoja". "Hii ingesababisha Yahwe kuangamiza wote watakatifu na waovu katika nchi"

ubichi ... ukavu

Vivumishi hivi vya nambari vinaweza kutafsiriwa kama nomino. Kwa sababu mara kwa mara nchi ilikuwa kavu na watu walihitaji mvua ili mazao yao yaote, maneno haya ni sitiari kwa "kuishi ... kufa" au "mema ... mabaya". "vitu vibichi ... vitu vikavu" au "watu wema .. watu wabaya"