# kulikuwa na njama
"walikuwa tayari kwa kumshambulia Paulo" au "walikuwa wakisubiri kumwua Paulo"
# ngome
Ngome ilikuwa imeunganishwa na uwanda wa nje wa hekalu.