forked from WA-Catalog/sw_tn
859 B
859 B
Matendo 12 Maelezo kwa jumla
Muundo na Mpangilio
Sura ya 12 inatuelezea kilichomtendekea mfalme Herode wakati Barnabas alikuwa anamrudisha Saulo kutoka Tarshishi na wakipeleka pesa kutoka Antiokia kwa watu wa Yerusalemu (11:25-30). Aliwaua viongozi wengi akamfunga Petero gerezani. Baada ya Mungu kumsaidia Petero kutoroka gerezani, Herode aliwaua walinzi wa gereza kisha naye akauwawa na Mungu. Luka anatuelezea katika mstari wa mwisho wa sura hii jinsi Barnaba na Saulo waliyorudi kutoka Antiokia.
Mifani ya usemi muhimu katika hii sura
Kuwa na mfano wa kibinadamu
"Neno la Mungu" linazungumziwa kana kwamba ni kiumbe kinachoweza kumea na kuzaana. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/wordofgod and rc://en/ta/man/translate/figs-personification)