forked from WA-Catalog/sw_tn
471 B
471 B
Kisha Yehu akaituma
Hii inamaanisha kwamba kutuma wajumbe kuuchukua huu ujumbe kupitia nchi. "Kisha Yehu akawatuma wajumbe" au "Kisha Yehu akatuma ujumbe"
hivyo basi hakuna mtu hata mmoja ambaye aliacha kuja
"hivyo basi kila mwabudu Baali alikuwa huko" au "hivyo basi kila mtu akaja"
lilijaa
"waliijaza"
aliyekuwa anatunza kabati la nguo za makuhani
Hapa "kutunza" kitu inamaanisha kuiangalia na kuisimamia. "ambaye alikuwa msimamizi wa kabati la mfalme"