sw_tn_fork/2ki/06/32.md

1.7 KiB

Mfalme alimtuma mtu wa mbele yake

"Kuwa mbele ya mfalme" maana yake kuwa kuwa mmoja ya hawa watumishi wake. "Mfalme wa Israeli alimtuma mmoja wa watumishi wake kama mjumbe"

wakati mjumbe alipokuja kwa Elisha, aliwaambia wazee

Hapa Elisha anaongea na wazee mbele ya mjumbe wa mfalme alipofika. "wakati mjumbe alipokaribia kufika, Elisha akawaambia wazee"

"Ona jinsi huyu mwana wa muuaji alivytumwa kuchukua kichwa changu?

Elisha anatumia hili swali lisilohitaji majibu kuleta usikivu kwa wajumbe wa mfalme na kumdhalilisha mfalme.

mwana wa muuaje

Hii inamaanisha kwamba mfalme wa Israeli anatabia za mauaji. "huyu ambaye yuko kama muuaji" au "muuaji"

amemtuma

Maneno yanayokosekana yanaweza kuongezwa. "amemtuma mtu kwa"

kuchukua kichwa changu

Hii inamaanisha kumkata kichwa. "kukata kichwa changu"

Tazama

Elisha anatumia hili neno hapa kuleta usikivu wa wazee kwa kile anachotaka kukisema.

shika mlango funga juu yake

Kama mlango ukifungwa juu ya mtu inamaana kwamba umefungwa na kwamba hawawezi kuingia kupitia huo. "shika mlango funga ili asiweze kuingia"

Je sio sauti ya mguu wa bwana wake nyuma yake?

Elisha anatumia hili swali kuwahakikishia wazee kwamba mfalme anakuja sio mbali naye.

tazam, mjumbe

Neno "tazam" linatutahadharisha kufika kwa wageni

mjumbe akashuka chini kwenda kwake

Mjumbe, alifika, na mfalme alifanya, kama Elisha alivyokuwa amesema angefanya. Neno "alishuka chini kwake" linamaanisha kwamba walifika mahali ambapo alipokwa. "mjumbe na mfalme walifika"

Tazama, hii shinda

"Hakika, hii shida." "Neno "tazama" hapa inaongeza msisitizo kwa kile kifuatacho.

Kwa nini nimsubiri Yahwe tena?

Huyu mfalme anatumia hili swali lisilohitaji kijibiwa kusisitiza kwamba haamini kwamba Yahwe anaenda kuwasaidia.