sw_tn_fork/2ki/06/17.md

884 B

fungua macho yake ili aweze kuona

Elisha anauliza kwamba mtumishi wake anaweza kuona vitu ambavyo watu wengine hawawezi kuona, viitwavyo farasi, na magari ya farasi ya moto ambayo yaliyo wazunguka. "mfanya aweze kuona"

na akaona. Tazama

"na kuweza kuona. Kile alichokiona kilikuwa kwamba"

Tazama

Neno "Tazama" hapa linaonyesha kwamba mtumishi alishangazwa na kile alichokiona.

mlima ulikuwa umejaa farasi

"mlima wote ulikuwa umefunikwa kwa farasi"

kumzunguka Elisha

Hii inarejea kwa mji ambao Elisha alipo. "kuzunguka mji aliokuwa Elisha"

hawa watu

Hii inarejea kwa maaskari Washami.

Wapige hawa watu upofu

"Wafanya hawa watu kuwa vipofu!" Hii inarejea kwa yahwe kuwasababisha kutoona vizuri.

Hii sio njia, wala huu mji

Elisha anawachanganya Washami kwa kuwaambia kwamba hawapo katika mji wanaoutafuta. "Hii sio njia, wala sio mji mliokuwa mnautafuta"