sw_tn_fork/2co/12/11.md

1.4 KiB

Sentensi Unganishi

Paulo anawakumbusha waamini wa Korintho juu ya ishara za kweli za mtume na uvumilivu wake mbele zao kuwatia nguvu.

Mimi nimekuwa mpumbavu

"ninatenda kama mpumbavu"

mlinilazimisha kwa hili

"mlinilazimisha kuongea kwa njia hii"

nilipaswa kusimesifiwa na ninyi.

"ni sifa ambayo mlipaswa kunipa"

sifa

" Ina maanisha "sifa" na "kushuhudiwa"

Kwa kuwa sikuwa duni

"kwa kutumia kauli ya kukanusha, anasema kwa nguvu kwamba hao wakorintho wanaodhani kuwa yuko duni hawako sahihi.

mitume--bora

Mitume-Paulo anatumia neno hili kwa kejeli kuonyesha kuwa hawana umuhimu kama wanavyodai.

Ishara za kweli za mtume zilifanyika

Sentensi hii ionaweza kutafsiriwa katika kauli tendaji pamoja na msisitizo juu ya "ishara"

ishara....ishara

Tumia maneno yote kwa wakati mmoja

ishara na maajabu

Kuna ishara za "kweli za mitume" ambazo Paulo alizitenda kwa uvumilivu mwingi.

Kwa namna gani mlikuwa wa muhimu wa chini kuliko makanisa... isipokuwa ...ninyi

Paulo anasisitiza kuwa Wakorintho wanafanya makosa kumshitaki Paulo kwa kutaka kuwaumiza.

sikuwa mzigo kwenu

"sikuwaomba pesa au vitu vingine nilivyohitaji"

Mnisamehe kwa kosa hili

Paulo amekuwa mwenye kukejeli kuwaaibisha Wakorintho. Pia yeye na wao wanajua kuwa hajafanya baya lolote, lakini wanamfikiria kuwa kama amewakosea

kwa kosa hili

kuto waomba pesa na mahitaji mengine aliyohitaji