forked from WA-Catalog/sw_tn
41 lines
1.2 KiB
Markdown
41 lines
1.2 KiB
Markdown
# Lakini tuna
|
|
|
|
Hapa neno "tuna" lina maanisha Paulo na watenda kazi pamoja naye, lakini siyo kwa Wakorintho.
|
|
|
|
# tuna hazina hii katika vyombo vya udongo
|
|
|
|
Paulo anazungumzia injili ilivyokua kama hazina na miili yao ilivyokuwa kama chupa za udongo zinazoweza kuvunjika. Hii inasisitiza kuwa wana thamani ndogo ukilinganisha na thamani ya injili ambayo wanaihubiri.
|
|
|
|
# ili kwamba ieleweke
|
|
|
|
" ya kwamba iko dhahiri kwa watu" au "ya kwamba watu wanatambua wazi wazi"
|
|
|
|
# Tunataabika katika kila hali
|
|
|
|
Hiki kinaweza kuelezwa katika kauli tendaji. "Watu hututaabisha kwa njia mbali mbali"
|
|
|
|
# Tunateswa lakini hatujatelekezwa
|
|
|
|
. " Watu hututesa lakini Mungu hajatutelelkeza"
|
|
|
|
# Twatupwa chini lakini hatuangamizwi
|
|
|
|
hututupa chini lakini hawatuangamizi"
|
|
|
|
# Twatupwa chini
|
|
|
|
"twaumizwa vibaya"
|
|
|
|
# iku zote tunabeba katika mwili wetu kifo cha Yesu
|
|
|
|
Paulo anazungumza juu ya mateso yake kuwa kama vile ni uzoefu wa kifo cha Yesu Kristo.
|
|
|
|
# uzima wa Yesu uonekane pia katika miili yetu.
|
|
|
|
Maana zaweza kuwa "miili yetu itaishi tena, kwa sababu Yesu yu hai au " maisha ya kiroho ambaye Yesu hutoa pia yaonekane katika miili yetu."
|
|
|
|
# uzima wa Yesu uonekane pia katika miili yetu.
|
|
|
|
Yaweza kueleza katika kauli tendaji " watu wengine wanaweza kuyaona maisha ya Yesu katika miili yetu"
|
|
|