sw_tn_fork/2ch/12/07.md

17 lines
421 B
Markdown

# Wamejinyenyekeza.
"Mfalme na viongozi wengine wa Israeli walikuwa wamejinyenyeza wenyewe," Mfalme na viongozi wengine ni maneno yanayowakilisha au yenye maana ya watu wote wa Isaraeli.
# Neno la Yahwe likamjia.
"Yahwe alisema neno lake."
# Nitawaokoa kwa hatua fulani.
Nitawaokoa wasiangamie kwa kabisa kabisa
# Hasira yangu haitamiminwa juu ya Yerusalemu.
"Sitaiachilia hasira yangu yote dhidi ya Yerusalemu"