sw_tn_fork/1sa/25/43.md

17 lines
257 B
Markdown

# Daudi pia alimchukua Ahinoamu ... Sauli alikuwa amempa Palti
Matukio haya yalitokea kabla Daudi hajamuoa Abigaili.
# Palti ... Palti
Haya ni majina ya wanaume.
# Mikali
Hili ni jina la mwanamke
# Galimu
Huu ni mji uliopo kaskazini mwa Yerusalemu.