Mkono mmoja ni sawa na sentimeta 46. Shubiri ni sawa na urefu wa sentimeta 23.
"alijilinda mwenyewe kwa kuvaa dirii ya chuma"
Shekeli ni kama ujazo wa gramu 11.