Yaweza kuwa na maana ya 1) "shujaa" au 2) "mtu mwenye hekima"
"anayeongea kwa busara"
Hii inamaanisha kuwa Bwana alimsaidia na kumbariki Daudi.