forked from WA-Catalog/sw_tn
713 B
713 B
Taarifa ya jumla:
Msimuliajia nasimulia kusuhu wafua vyuma wa Israeli.
Hakuna hata mhunzi aliyeonekana
"Hakuna mtu atakayempata mhunzi"
Mhuzni
Mhuzi ni mtu anayetengeneza vifaa vya chuma na silaha.
kunoa jembe lake
Jembe ni kifaa cha chuma ambacho hutumika kulimia ardhini kwa ajili ya kupanda mazao.
sululu ... shoka ... mundu
Hivi ni vifaa vya kwenye bustani
Sululu
Ni kifaa chenye ncha kali kinachotumika kupasulia udongo mgumu.
mundu
Ni kifaa cha ncha kali kinachotumika kukatia majani na nafaka.
Theluthi mbili ya shekeli
Shekeli imegawanywa katika sehemu tatu na mbili ya tau imetolewa.
kunyoosha michokoo
Kuondoa mchokoo na kumfanya ng'ombe anyooke ili aweze kutumika.