"Nyumba" inamaanisha watu wanaoishi ndani ya nyumba na uzao wao. "Uzao wote wa Israeli" au "watu wote wa Israeli"
"Kujitoa moja kwa moja kumuabudu na kumtii Bwana tuu"