sw_tn_fork/1sa/06/01.md

9 lines
234 B
Markdown

# Makuhani na waganga
Hawa walikuwa ni makuhani na waganga wa kipagani walimwabudu Dagoni.
# wambieni jinsi ambavyo tunapaswa kulirudisha
Wafilisti walitaka kujua namna watakavyolirudisha sanduku la Bwana bila kumkasirisha zaidi.