forked from WA-Catalog/sw_tn
508 B
508 B
wafanye juu ya sanduku la Munga wa Israeli ... Sanduku la Mungu wa Israeli lihamishwe
Yaweza kuwa na maana ya 1) walikuwa wakizungumza juu ya jina kamili la Mungu wa Israeli au 2) waliamini kuwa Israeli waliabudu moja kati ya miungu mingi.
Wakalibeba sanduku la Mungu wa Israeli.
Mwandishi anatumia jina sahihi la Mungu wa Israeli.
Mkono wa Bwana ulikuwa dhidi ya
"Bwana aliadhibu"
wote wakubwa kwa wadogo
Wao wote "wadogo kwa wakubwa, masikini na tajiri"
Majipu
Huu ni ugonjwa wa ngozi.